SIKU YA MABAHARIA
Siku ya Mabaharia Mhimili wa Usafirishaji wa Baharini na Bandari (25 June) Mhimili wa Mnyororo wa Usafirishaji wa Baharini Tarehe 25 Juni dunia huadhimisha Siku ya Mabaharia (International Day of the Seafarer), siku inayotambua mchango wa mabaharia katika kuhakikisha biashara ya kimataifa inaendelea kupitia usafirishaji wa baharini. Katika sekta ya bandari na container logistics, mabaharia si tu wasafirishaji wa meli, bali ni kiungo cha msingi kinachounganisha bandari, masoko na mnyororo mzima wa usambazaji (supply chain). Umuhimu wa mabaharia katika operesheni za bandari: Wanahakikisha mzunguko wa mizigo (cargo flow) kati ya bandari mbalimbali duniani Wanadhibiti uendeshaji wa meli zinazobeba container, bulk cargo na general cargo Wanachangia moja kwa moja kwenye ufanisi wa operesheni za bandari kupitia upangaji wa ratiba za meli na muda wa meli kukamilisha huduma bandarini. Uhusiano na sekta ya Port & Container Operations Katika mazingira ya bandari, ufanisi wa operesh...